Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jamani naombeni kujua wapi wanafundisha martial arts bongo
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Beyoncé and Chris Brown on the same song? No, you're not dreaming. This actually happened. Queen Bey and CB appear together on the "Jealous (Remix)," where Brown adds his vocals to the track that...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Naona sikuhizi umbea hasa unaohusu celebrities umehamia huko, Facebook na Twitter zimetelekezwa, show game zote ziko huko, mara sijui team wema,team kiba,team lemutuz(lol) etc zoote zipo huko, in...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Audio: Jinsi Chidi Benz na Cassim walivyowashiana Club Billicanas – Bongo5.com
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Huyu dada anaeitwa Wema Sepetu anaonekana akionyesha tabia na maisha yake ya kila siku kupitia kipindi hiki cha In My Shoes kinachoonyeshwa kupitia EATV. Hakuna cha maana zaidi ya kuonyesha jinsi...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
The Success Of Fox's 'Empire' Reveals A Few Do's And Don'ts For TV i Taraji P. Henson, left, and Terrence Howard star as Cookie and Lucious Lyon in the Fox TV show Empire. The TV...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
wakuu kwa nini wasanii wanashindwa kukaa kwenye game kwa muda mrefu,kuna wanaodumu kwa .miezi.mwaka moja. than wanapotea . unadhani wanakosea wapi?
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Wakuu naombeni link nitakayoweza kushusha series hii matata
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Kololo kolo mawena na tip Sheneida (verse1) Bana ndugu ebu leta tulivyo kabla mimi sijaondoka Wanatuhadithia tatizo wakati si tushamoka Weka bia tatu kwenye meza pale Hiyo bili atalipa babu tale...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya Bongo Movie na Nigerian Movie? Au unawashaurije wasanii wetu, wafanye kitu gani ili movie ziwe za kimataifa zaidi, yaani ziuzike huko ulaya, Amerika hata bara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Meneja wa muda mrefu wa kundi la muziki wa kizazi kipya la Tiptop Connection,Abdul Taletale aka Abdul Bonge ameaga dunia. Abdul Taletale ambaye ni kaka wa Babu Tale atazikwa mkoani Morogoro...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guyz ni nyimbo gani ikipigwa club ukiwa huko lazima usimame kucheza iwe ya kibongo bongo au ya mbele I mean ya kizungu lengo nataka kujua zile nyimbo ambazo zina pigwa sana club kwenye madisco...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi sipo kabisa katika hizi team mavi, mavi za hapa mjini mara team kiba mara team diamond, mara team sijui ushuzi !! Bali mi ninapenda mziki mzuri wa aina yoyote na uimbwe na team yoyote...
0 Reactions
60 Replies
12K Views
NIKUSAIDIAJE. Umesahau ulipotoka hujui unapokwenda, ukapata kiburi kuona mi nakupenda, nilikutamini na letu penzi kulienzi, na leo siamini kama umelisaliti mpenzi, kumbuka nilikukuta kijijini...
2 Reactions
82 Replies
11K Views
Nimepata bahati ya kusikiliza wimbo mpya wa msanii shetta lakini nimepata shida kuutofautisha na wimbo wa msanii toka nigeria anayefahamika kwa jina la runtown aliyemshirikisha davido unaoitwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna nyimbo ya hawa wasanii wa nigeria ya patoranking kamshirikisha tiwa savage kwenye hio nyimbo kuna sehemu wanaimba mistari ya nyimbo fulani hivi ya R&B ya zamani sana ya kizungu sasa naomba...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Jamani hawa clouds wanaboa saaaaana wameanza tabia mbaya mno ya kutumia nyimbo za watu sijui wanawapa nn wanazipiga remix ili kuipa promo redio yao wanaboa sana hivi redio hii ina wanataaluma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dah! Sijui kama wana jf wenzangu mmeshawahi ona hii kitu. http://m.youtube.com/watch?v=r_NKP070B6c . video kwa hisani ya NTV Kenya. Nimecheka kidogo! Lakini sikujua inamaanisha nini..?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom