lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
hakika hili ndio jembe K 4 REAL anaendelea kumtesa mzee wa promo, kutokana na nyimbo zake kupigwa sana katika vituo vya radio na TV. take 5, K 4 REAL
Hahahahaaa lukelo sakafu katika ubora wake
Unajitahidi leo hauoni hiyo usemayo promo ilipomuweka?
Mwambie mwenza nae afanye maana hawezi kumfikia kwa sasa kwa kabla hata robo na kwa baadae labda chini zaidi.
Pigeni kazi acheni majungu ya kumtizama mtu na kumpondea iga muendeleee
Mwenye macho haambiwi tazama (uwalinganishe Zari na Wema, kwa LIPI?! uwalinganishe Dai na K, KWA LIPI??! totally different.
mkuu K 4 REAL anatisha
Avemaria habari yako?
Zingifuriii zinhifuriii yupo dubaiii kiba yupo bongo hkuuu gongo la mboto...
Mtaisoma nambaaaa