masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,378
- 19,267
jamani wadau nimeambia na watu wengi wa karibu ikiwemo ndugu zangu nifanye mashindano ya umiss
sasa najua kuna kuanzia level za vitongoji na mambo mengine hapo katikati
nina vigezo vingi so far
urefu wa 165
sina tumbo(hata baadhi ya mamis)naona langu dogo kuliko yao
nina rangi ya brown inayoelekea weusi
nina nywele ndefu za wastan
nina figer ambayo si ya kibantu i mean model tu.
sura yangu kwa kweli ndo naitegemea sijichubui hata poda sipaki ila napendezwa machoni mwa watu
NILISHINDWA KUFANYA NIKIWA CHUO SABABU YA MUDA JAPO ILITOKEA NIKAJI EXPOSE KWA MAMBO HAYO KIDOGO SANAA KUTOKANA NA MASOMO NILIYOCHUKUA YA SAYANSI
TATIZO SINA UELEWA NA MAMBO HAYO KABISA
MWENYE UELEWA AMA ANAEJIU NAWEZA FANYA VIPI
ANIPM NITAMTUMIA PICHA NYINGI SANA YEYE MWENYEWE ATASEMA KUTOKANA NA UZOEFU NA NIFANYE NINI
plz nipo siriaz sana katika hili