seleman msumeno
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 202
- 34
kuna maneno mengi yameibuka ndani ya mitandao eti kuna walio muona live zari the boss lady kupitia,all white party wameanza kumlinga nisha na wema sepetu, eti wameanza kusema na kucoment kwamba zari ni mbaya na kinanocho nishangaza wao anawahusu kivipi wakati anapiga pesa kivyake na ana maisha yake yeye binafsi na wao wana maisha yao binafsi,kwa nini wasifate maisha yao .