Watangazaji wa Clouds FM kupitia kipindi cha Powerbreakfast Gerald Hando pamoja na Hudson Kamoga wa Clouds TV kupitia kipindi cha Clouds 360 wakifanya mahojiano na Msanii mahiri wa muziki wa...
Diamond, Zari and Diamond's management are in Zanzibar as the singer is set to perform tonight at Ngome kongwe. Here are some pics...............
with Zanzibar's famous designer Doreen...
Majina ya walioingia kwenye tuzo mwaka huu. Kura zitaanza kupigwa May 5.
MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIUME
1. Mzee Yusuf
2. Christian Bella
3. Diamond Platnumz
4. Ally Kiba...
zari all white party ni show ambayo inahudhuriwa na baadhi ya mastar wakiwamo 1.Godfather 2.Top ten ya washindi wa big brother africa,na wengine wengi kibao,je kwa...
Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini...
Pamoja na wadau wengine wote naomba mnisaidie kuchambua maana halisi au nini ilikuwa nia ya mtunzi mahiri wa nyimbo za taarab nchini Mzee Yusuph katika wimbo wake mpya usemao " Ikisimama panda "...
Tazama Video ya Sophia ya Ben Pol Hapa/ Watch Ben
Pol - Sophia ( Official Video ) on YouTube
www.youtu.be/81i3dybXK8U
Nilichopenda humu ni kuwepo kwa video queen mwenye albinism
Wadau kwa kawaida mimi ni mgumu sana kulia lakini kuna baadhi ya films zinanifanya kutoa machozi kabisaaa bila kupenda
My sisters keeper(my sadiest movie ever)
John Q(a poorest man struggle to...
Niaje wana JF,
Mwana wenu karudi tena. Kama ilivokua kwa wimbo wa Mwana, JF ndo ilikua ya kwanza kuupata kupitia mimi basi nimeona nisiwe mchoyo niwape tena huu wa Chekecha Cheketua...
Habarini.wadau naomba msaada nawezaje ku download Nigerian movies ambazo ni latest nimejaribu kutumia you tube ku download lkn zinakuwa hazipo in format nzuri kwa mfano kipande cha party one...
Huyu ni mtangazaji wa zamadamu na nyimbo za dini lkn huwa anakera sana,kujichekesha chekesha hovyo,na kujipigia makofi sijui kama yuko vizuri upstairs,Hovyo sana,
Dear Friends in Arusha
Jinsi kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji mkubwa kwa muda wako wa ziada.
Tar 1. Mei Mosi, tunawakaribisha kwenye oriflame mega event itakayofanyika New Safari Hotel...
muziki wa bongo fleva ndio kwa asilimia kubwa unaua vipaji vya mamilioni ya wanafunzi nchini kupata elimu.siku hizi kila mwanafunzi awe wa primary,sekondari, wanafeli mitihani au wanashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.