mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Wakati imebakia miezi michache kabla ya uchaguzi na kushuhudia CCM ikijinyakulia ushindi tena wa KISHINDO, si mbaya tukajikumbusha kale kawimbo ketu ambacho kanasema " watanzaniaaa, watanzaniaa CCM yawina*2" halafu anatokea marehemu mh komba anaunga " kina mama,Kina baba, kina kaka na kina dada CCM yawina" mnakumbuka hii kitu?
USHINDI LAZIMA
PAMOJA
USHINDI LAZIMA
PAMOJA