The Moon Master
Senior Member
- Feb 22, 2014
- 133
- 30
Kiufupi ni kwamba awa jamaa wako vizuri sana katika gamu ya hip hop hapa bongo, wamefanya mapinduzi ya kupigiwa mstari, kuanzia uandishi, ghani yaani atleast zile nguzo tano za hiphop wanazifuata. Kwa tunaofuatilia huu muziki tumewasoma sana.
Cha kushangaza ni kwamba hawapati promo wanayostahili, redio nyingi wanashabikia awa waimba viduku.
Kazeni buti wana kuna siku jamii itakuja kuwaelewa tu.
Cha kushangaza ni kwamba hawapati promo wanayostahili, redio nyingi wanashabikia awa waimba viduku.
Kazeni buti wana kuna siku jamii itakuja kuwaelewa tu.