Live Interview: Zari All White Party - Clouds Tv/Radio

Live Interview: Zari All White Party - Clouds Tv/Radio

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
zari.png

Haya fuatilieni mahojiano juu ya tamaisha hili la leo mjionee na kusikia kama maandalizi yanaendana na thamani ya tiketi zenu au ni ujanja ujanja wa mjini wa waandaji?ni live clouds tv/radio kuanzia saa 1 mpaka saa 4 asubuhi.

Bahati nzuri member mwenzetu Le mutuz kajinasibu kuwepo kwenye interview pia ebu naye tumsikie je analipi jipya?Anaingia kwenye interview hii kama nani?Au ni zile sifa zake za kuforce umaarufu?

Cc @W.J.Malecela
Leegoooo!!!
 
Acha wivu wewe Le Mutuz ni mtu mkubwa sana kwenye nchi hii.

Kuhoji ni wivu?Si kweli anapenda sifa?acha povu ngoja tumwone kama ni mjomba wako usiogope ngoja watu wamnawe.
 
Kuna mastaa wa kike wakubwa hapa bongo na staa namba moja ni Wema Sepetu. Lakini tumeona utofauti wa Zari na mastaa wetu. Mastaa wetu wengi sio watafuta pesa wengi hawana skendo za kuwasaidia. Ila kwa Zari imekuwa tofauti na tulivyozoea huyu dada sio mchuna mabuzi kama dada zetu wa Bongo movies yeye ni mtafuta pesa na mtumia opportunity nna hakika ata Diamond ukimuuliza atasema ni mwanamke tofauti ata yeye atakuwa ameongeza mambo mengi kuwa nae compared na wanawake wa nyuma kina Wema.

Vipi wadau mnaona awa kina dada zetu wanatakiwa wajifunze nini toka kwa Zari haswa kwenye mambo ya kujenga?
 
Kuhoji ni wivu?Si kweli anapenda sifa?acha povu ngoja tumwone kama ni mjomba wako usiogope ngoja watu wamnawe.

Le mutuz anafahamika mpaka na Rais . Wewe hata mwenyekiti wa mtaa wako hakujui
 
Hando hujui kiengereza unaumbuka sana leo kumuhoji zari..kasomee ww
 
Zari anasikia kiswahili kiasi fulani...ni Mganda tusisahau.
 
Health and Life Tz haaha anajichekesha chekesha maswali ya kumuhuliza zari anamhuliza diamond haaha ni shiiideeerr
 
Last edited by a moderator:
Thread 3 JF zote zinazungumzia Interview hii ya Diamond na Zali
 
Back
Top Bottom