Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mimi huwa najiuliza wabongo huwa tunataka wasanii wetu waimbe muziki wa aina gani hasa. Najiuliza kwa sababu msanii akiimba style za kinaigeria watamsema sana kwamba kwa nini aimbe style za west...
4 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakuu nautafuta sana wimbo mmoja wa zilipendwa ila sikumbuki jina lake nakumbuka tu ubeti mmoja unasema hivi : Wewe anza mimi namaliza bora tusielewane vibaya. Je kuna anayekumbuka unaitwaje na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu salam.... Kwa wale timu kiba vs timu daimond..... Kwa kusema kiukweli ili kumsaidia huyu Msanii wetu alikiba anahitaji abadilike saana kwenye video zake, yaani ukiiangalia hii video...
0 Reactions
162 Replies
23K Views
HAWA 'GUITAR VERSION' https://www.hulkshare.com/roberteliah/hawa-msata-2
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Naomba anaezijua movie nzuri za action anitajie hapa nataka kuzi download hasahasa hollywood movies. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Kila mtanzania mwenye mapenzi mema na muziki wetu.mpigie kura K 4 REAL katika category zote kwenye KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS. vote for K 4 REAL.
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE STARTV LIVE ONLINE RADIO FREE AFRICA TANZANIA IPO LIVE ONLINE KTK LINKI HAPO JUU, JE WEWE MWANA- JAMIIFORUMS POPOTE ULIPO DUNIANI UNAIPATA? HABARI HII...
3 Reactions
19 Replies
21K Views
jamani mbona movie nyingi za kibongo zinatukoroga sana. utakuta jina la movie limeandikwa kingereza mfano ,KILLER, MY TEARS, VILLAGE LIFE,nk lakini cha ajabu humu ndani wanaongea kiswahili na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Freddie Mercury (5 September 1946 – 24 November 1991) was a British singer, songwriter and producer, best known as the lead vocalist and lyricist of the rock band Queen. As a performer, he was...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka maneno baadhi ya wimbo ila jina na msanii sikumbuki. "Beti unaondoka ee, kwangu unaniacha, nami sina la kufanya, mama uende salama. Mawazo x 3 Ukiwa x3 ........."
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Kati ya RAW & JPEG ipi fomati unapenda kutumia kwa wale wapiga picha wenzangu
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Read more » NEW VIDEO | Lady JayDee ft. Mazet & DJ Maphorisa – GIVE ME LOVE (Official Music Video)
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Nadhani tumeshuhudia wanamziki wengi hapa Bongo wanajua sana kuimba na kutunga nyimbo, lakini wawapo jukwaani wamekua wakitumia CD (playback), wanatumia beat zilizotengenezwa studio. Lakini...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu, Ni Wengi tunapenda kuangalia movies ila muda mwingi tunakua mbali na PC, laptop ama TV zetu. ningependea kushare na wenzangu sites hizi mbili ambapo ni among nyingne nyingi tu wakuu...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
BIG RASPEKT TO ALL MAMAZ, ESP. THE AFRIKAN MAMA WHOSE MAJORITY OF WORK IS TOUGH AND YET SHE LOVINGLY CARE AND CARE AND CARE… MUCH LUV * Wimbo kwa ajili yenu (bonyeza kitufe play apo chini)...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Jamani Jamvini Naombeni Msaada Wa Nyimbo Ya Mrembo Na Siku Kama Hizi Za TID Kwenye Album Yake Ya Kwanza Iliyotoka 2003 Nazikibula Sana Hizi Nyimbo Nimeshaenda Wapsite Nyingi Bila Mafanikio Msaada...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi napenda sana,movies za kutisha sana kama zombies movie na zingine zenye kutisha Naomba kutajiwa majina ya movies hizo mimi nitazidownload au kama unaifaham link au website yenye movies za...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu tukiwa tunaendelea na wikiendi, mwenzenu usiku huu nimekumbuka mbali sana baada ya kusikia wimbo wa Chicco -Ineed some money, Nimekumbuka miaka ya tisini na kitu huko Tarime - Mara...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
VIDEO: Diamond Platnumz – Nasema Nawe ft. Khadija Kopa Diamond Platnumz divulges yet another outstanding video to his recent single entitled Nasema Nawe featuring Khadija Kopa. Directed by...
1 Reactions
40 Replies
12K Views
LON JON NA AMINA- GROWN AND SEXY
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom