Kwa wale wadau wa series nilikuwa nauliza kama Hii series season ya 5 kama imetoka
Nawasilisha.........
ninayo ila nauza
Shillingi ngapi per series or episode
per series 20,000
Nielekeze wapi nijie
nikukute kona bar saa nne usiku nitakuwa nimevaa nguo fupi ya pink..................
Kona bar hapana, fanya maeneo ya Hongera Bar angalau.
Pouwa pouwa sa nne
Ni PM mobile number yako
Ipo season 4, season 3 nlishaifuta kitambo...
Nikutafute boss, naona kuna likizo ndefu sana, niPM namba yako nije kuchukua mzigo