Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Samahani kwa kichwa cha habari cha kizungu,nimeshindwa kuweka kwenye kiswahili kizuri....naomba nisaidieni kujua waheshimiwa wanaJF live streaming inayoonyesha movies,naijua hii inayoonyesha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari yenu wadau wa jf. Ntaenda moja kwa moja kwenye point. Nlikua naomba mwenywe nyimbo ya kassim mganga - nafsi nyonge (mp3) anitumie kwenye whatsapp. Naomba mwenye nayo unifate pm nkupe no...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Oscar winners 2016: Complete list of winners (and nominees) for 88th Academy Awards Winners of the 88th Academy Awards are being revealed during a live telecast held February 28, 2016, at the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akiwa njiani kuelekea Zilizo studio za East Africa Television Nay amevunjiwa kioo cha gari lake ni kioo cha nyuma! Nay alikuwa akienda kwenye interview kutangaza Video yake mpya ya Huo wimbo wa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
1. Usiusemee moyo - lady jaydee 2. Latifah - MB Dog 3. Nyota yako - TID 4. Nikupe nini - ManDojo & Domokaya 5. Ukimwona - Diamond Platinumz 6. Nimekuchagua wewe - Bob Ludala 7...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
Wapi naweza kupata nyimbo zote za zamani za Zaire, TZ au Kenya, kama vile za Orchestra Lipua Lipua, Veve, na zingine za enzi hizo ili ni-download?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
naomba mwenye link ya wimbo wa sister p ft ney wa mitego-nani mkali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna wasanii zamani walivuma sana na kujulikana sana. Wapo wengi tu. Sijui wanajishughulisha na nini siku hizi? Kwa mfano watu kama kina AB Skillz, Bablee, Hakeem 5 na wengine wengi. Basi...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
mwenye kujua filamu yoyote ya hapa BONGO,..(Bongo movie) yenye viwango stahiki anitajie...haijalishi ni ya mwaka gani.. maana nilizozichek kadhaa kwa wiki hii ZIMEFELI KABISA kuakisi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Eh yo shori, alidai mtoko NA MIMI!, Mradi aonekane kila chocho NA MIMI!, Club cinema, au beach coco NA MIMI!, Ili mradi tu nae karuka kopo NA MIMI!, Nikamwambia sina mkoko LAKINI?, Uko tayari...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Goma la #MakeMeSing limefanya vizuri miongoni mwa ngoma zinazovuma nchini South Africa. AKA's new video fires up internet Azizzar Mosupi | 25 February, 2016 00:46 Make Me Sing is currently on...
0 Reactions
114 Replies
13K Views
nyumba njaa, ukisinzia unapata zero dunia ya vichaa, mwehu ni chizi na pia ni hero.. King wa hip hop..
4 Reactions
37 Replies
7K Views
Ukifuatiria utunzi wa mashairi kati ya hawa watu wawili utagundua kuwa diamond anafata taratibu zote za kiuandishi katika kuandika mashairi yake vina kati na mwisho... Lakini king kiba yy ni mkali...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni muda sasa nimekuwa nikimsikia huyu jamaa hasa katika upande wa kuchukiwa, watu wanalalamika anawanyonya, anatembea na watangazaji wa redio yake wa kike n.k. Juzijuzi hapa nikaja kumsikiliza...
3 Reactions
91 Replies
12K Views
Habari wakuu, Kuna rafiki yangu amenitonya kuwa Kajala Masanja atakuwa ni staa rasmi atakayefanya Special Appearance ktk shindano la Miss CBE pale Billz Posta Ijumaa ya kesho tarehe 26. Sasa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
“KIFO oooh kifoo, kifooo kifoooo, kifo hakina huruma!” Naam. Ndivyo alivyoimba marehemu Ramazan Mtoro Ongalla ‘Dk. Remmy’ wakati akiwa na bendi yake ya Super Matimila ‘Wana Bongo Beats’...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sikiliza mashairi ya nyimbo zao kisha tuone nani ni mkali. JUICY- NOTORIOUS B.I.G "Juicy" [Intro:] (---- all you hoes) Get a grip mother----er. Yeah, this album is dedicated to all the...
3 Reactions
51 Replies
20K Views
Kituo cha luninga cha StarTV huwa kina kipindi cha tamithiliya siku za jumanne na ijumaa kuanzia saa 3:30 - 4:30 usiku, jumamosi na jumapili kuanzia saa 3:00 -4:00 usiku. Mara nyingi hupendelea...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…