Ifahamu Hamasa TalkShow ni TalkShow mpya kwa wakazi wa Kagera na watanzania wote kwa ujumla

frajomedia

Member
May 1, 2016
35
7
Hamasa talk show ni show mpya kwa wakazi wa Kagera,na watanzania wote kwa ujumla.Lengo ni kujadili changamoto mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi,lengo likiwa kusukuma maendeleo.

Show inakutanisha watu mbalimbali ambao wanafanya jitihada mbalimbali kwenye maendeleo kama ya kiuchumi,kiutamaduni,michezo na sanaa.Kupitia show hiyo watu watajifunza mengi na hatimaye italeta mabadiliko katika jamii.Unaweza kuiangalia pia youtube kwa kuandika frajomedia

 
lengo la kipindi ni kuelimisha na kuhamasisha maendeleo kwa jamii yetu kupitia mahojiano na wadau mbalimbali wenye ushawishi au waliofanikiwa kwenye mambo mbalimbali katika jamii.
Kuna mambo vijana watajifunza kupitia wageni wetu kwenye kipindi.Tunajitaidi kulingana na uwezo wetu kuleta mambo mazuri
 
Back
Top Bottom