Aje ya Ally Kiba ft M. I, naisubiri video kwa hamu kubwa

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,356
16,379
Audio nimeisikia kwa mara ya kwanza na wacha tu niseme kipaji ni kipaji tu ametisha sana humu ndani ali kiba bila kumsahau M. I kiufupi ametisha sana ngoma ni nzuri kinoma

Hamu yangu kubwa sasa ni vidio bado nina imani safari hii nitaona vidio kali hii ni jinsi wimbo ulivyokaa

Saluti kwako king kiba
 
Audio kali sana nafkiri kajipanga sana coz nshaona baadhi ya clips za hiyo video kajitahidi big up to him
 
Kwa kiwango hiki naona anajitahidi sana, wakina Harmonize wajiangalie muda si mrefu watapotezwa.
 
Ally Matakataka vidio anafanya Apex

mtoa mada unaonekana unakaa kariakoo maana hiyo nyimbo inapendwa kariakoo tu
 
Wahenga walisema mtu ni "kichwa". Mtoa mada kafuate kichwa chako uje hapa ili tukuelewe. Mimi siwezi kusifia upuuzi, wacha wanichukie tu.
 
Ally Matakataka vidio anafanya Apex

mtoa mada unaonekana unakaa kariakoo maana hiyo nyimbo inapendwa kariakoo tu
Wimbo ndio kwanza umetoka ndugu hata kwenye radio sidhani kama ameufikisha
 
Kuna watu wanamasihara eti Harmonize wanamfananisha na Alikiba ila hii nyimbo kali akiendelea hivihivi tutaona maajabu soon
 
Yaani nimuonee wivu Harmonize kisa tu nimempa tahadhari kuwa kuna chipukizi anaitwa Alikiba anakuja kwa kasi asibweteke ndio nimemuonea wivu ????
kama wew ni "me" basi nchi ishapoteza muelekeo
 
Namie naisubir kwa hamu sana hii video.mana kiba hajawai kukosa kuniangusha. Ataniangusha2.
 
Wadau naomba mwenye audio ya Aje Orijinol version(ile yenye french) naiomba maana nimeitafuta bila mfanikio na mkito nashindwa kuinunua!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom