Mtegowanoti
Member
- Oct 25, 2015
- 36
- 27
Wadau Natafuta movie zenye ujumbe na zenye maadili kama Sarafina, The Great Debaters, Invictus, Freedom writers, nk. .Natanguliza shukrani
Asante mdau kwa mawazo chanya. .Unaweza kuangalia google pia. Ila kwenye website za taasisi unaweza kupata movies pia. Goethe institute wanaonyesha movie kila alhamis ambazo zina mafunzo flani kiaina. Zamani radio habari maalum walikuwa nazo kwa akili ya vipindi mbalimbali vya ukuaji, I hope bado wapo.