Stand up comedians gani wa Afrika unawakubali zaidi?

Maledhi

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
200
77
Habari za leo JF members

Nimependa kuuliza hili swali ili kuongeza ufahamu zaidi
Binafsi nimebahatika kuona recorded video za shows za hawa stand up comedians wa Africa na nikagundua wako talented na wanafikiria outside the box
Baadhi yao ni..
1. Klint the drunk - Nigeria
2. Basket mouth - Nigeria
3. Prof Hammo - Kenya
4. Pili pili - Tanzania
Najua list ni ndefu hebu wataje ili tuwafahamu zaidi na kama unajua wanatoka nchi gn

Just curious!
 
Pilipili hua simuelewi ana chekesha au ana cheka mwenywe, 2 me Sleepy David and Eric omondi are the best
 
Kipilipili anakuchekesha? hahahahahahah haya kweli maajabu!!
Huyu jamaa angerudi tu kufundisha wanafunzi comedy haiwezi

bongo namkubali mpoki huyo pilipili sijuibu unaumwa nn mpaka akuchekeshe

Naonaga kama anafanya comedy anaiga za wenzake hajui kuwa unique

Kwa pili pili hapana mpoki yes

Mpoki

Sasa pilipili anachekesha nini jamani

Mimi najiuliza pia

Pilipili hua simuelewi ana chekesha au ana cheka mwenywe, 2 me Sleepy David and Eric omondi are the best

Umeua mkuu sio kwa hili dongo

Huyo pipili hana tofauti na wale wanajiita kanjanja Mpoki yuko sawa



Mc pili pili,yule nae ni comedian?
Wonders shall never end
 
Back
Top Bottom