Kawimbo haka jamani kaimba nani?

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
"Nitunze nifunge nilidhike kuwa na wewe nisiende ndoa ya pili mama kwa malezi na mapenzi kwenda ......." nitunze nitunze nifunge nifunge niridhike kuwa nawe nisiende kwa mke wa pili ma. HUU WIMBO NAUPENDA SANA TATIZO SIJUI NANI KAIMBA, UNAPENDWA KUPIGWA CHANNEL TEN KWENYE KIPINDI FULANI HIVI CHA JIONI SOMETHING 'MIX SIJUI NINI NINI'. ANAYEIMBA KAVAA KOFIA ALAFU KUNA MWINGINE ANAIMBA MWISHONI KAMA HIP HOP FULANI IVI. Ambaye kauelewa msaada jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom