Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 319
Nyuki aina ya Dondola ana kiuno gani kiasi cha kuteka attention ya Diamond kwenye wimbo wa Zigo?
Kumbe sanaa ni ujuzi wa mambo si haba! Sikutegemea Diamond angejua lolote kuhusu wadudu wa mwituni k.v. Nyuki aina Dondola...ndio nyuki gani hao ati!?? (in Joti's voice).
Yaani nataka kujua huyo nyuki ana kiuno gani kiasi cha kuchukua attention ya Diamond Plutinumz hadi kuimbwa kwenye wimbo wa Zigo? Kwa maana ingine, huyu nyuki ananizidi akili, maana mtu mtu mwingine aliyeteka attention ya D. Plutnumz ni Waziri aliyeona ni bora sasa tutengeneze Sanamu ya Diamond.
Sasa hii ni changamoto kwangu...kama waziri,pia mdudu kama huyo Nyuki aina ya Dondola wameweza kucapture attention ya Chibu, mimi nipo wapi!
Kwahiyo mnaofahamu naomba mnieleweshe aina huyu wa Nyuki anapatikana wapi na kiuno chake kikoje pamoja na manufaa yake kwenye Eco-system yake.