Waigizaji wa movie wanahitajika

Status
Not open for further replies.

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
765
489
Habari mabibi na mabwana,

Kwa yoyote naejifahamu kua anaweza kuigiza nahitajika katika kampuni mpya ya uzalishaji film Tanzania.Underground ndio mnaohitajika haswa ili muweze kupewa mafunzo kwa ajili ya uigizaji, wanawake wanaume wakubwa watoto wazee wafupi warefu weupe weusi woote mnahitajika kwa mawasiliano watumie e-mail kwanza kahtan055@gmail.com
 
Hapa wasichana wataingizwa chaka ile mbaya. Kwa nini jina la kampuni halitajwi?
 
ndio tunapanga mipango audition mapka tupate idadi ya watu watakaojiunga
 
Habari mabibi na mabwana,

Kwa yoyote naejifahamu kua anaweza kuigiza nahitajika katika kampuni mpya ya uzalishaji film Tanzania.Underground ndio mnaohitajika haswa ili muweze kupewa mafunzo kwa ajili ya uigizaji, wanawake wanaume wakubwa watoto wazee wafupi warefu weupe weusi woote mnahitajika kwa mawasiliano watumie e-mail kwanza kahtan055@gmail.com[/QUO
Habari mabibi na mabwana,

Kwa yoyote naejifahamu kua anaweza kuigiza nahitajika katika kampuni mpya ya uzalishaji film Tanzania.Underground ndio mnaohitajika haswa ili muweze kupewa mafunzo kwa ajili ya uigizaji, wanawake wanaume wakubwa watoto wazee wafupi warefu weupe weusi woote mnahitajika kwa mawasiliano watumie e-mail kwanza kahtan055@gmail.com
Hili ni jukwaa la siasa, habari kama hizo peleka kwenye Jamii forum face book, Hawa KIMA wamejipanga kuwayoa watu kwenye hoja za msingi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom