Ningependa kufahamu kuhusu wasanii chipukizi kurudia nyimbo za wenzao

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
69,889
183,960
Habari wana JF,

Hivi karibuni kumezuka haka ka mchezo ka wasanii chipukizi kurudia nyimbo za wenzao, al maarufu kama cover. Je, hili linaashiria nini? Ni kwamba creativity imepungua maana mwanzo ilionekana ni kama jambo ambalo si baya maana wachache walirudia nyimbo nzuri za zilipendwa ili kuzirefresh na kiukweli ilihamsha hisia za wengi mno, hasa wale watu wenye umri mkubwa kama wazee na watu wazima wengi.

Recently nmeshangazwa naona kama naona hiki kitu kinaanza kuwa too much maana imefikia stage hata nyimbo iliotoka mwezi uliopita tayari unakuta imerudiwa.. Mfano nyimbo ya baraka de prince "siwezi" na nyinginezo kadhaa ambazo hata hazijafikia umri wa kuweza kuwa refreshed at least ipite miaka 10 au zaidi.

Wadau mnalifikiriaje hili swala? Je hichi cha kuweka cover nyimbo za watu kila uchao, ni sawa sawa kweli? Is it creative?
 
Mi hata sijui....... Ni kina Nani hao hawataki kuimba nyimbo zao.....?.......
 
Nilikupenda sana wowo......mfano wa maua wooo ...lakini hupendeki wowo..... Bora sasa wende..!!!!!! yeeebaa.!!!!!!hata sisi Kenya ipo
 
Back
Top Bottom