Raymond - Natafuta Kiki (WCB new song)

ndomaana week hii wcb walikuwa wanatafuta kik na wamezungumziwa kwel kwel nc song natafuta kik
 
Daaaah!!! nimeisikiliza kwa mara pili sasa,kama dogo haandikiwi mashairi basi hakika Rayvanny anajua kila kiti,utunzi ,melody,kucheza,vimaringo flani hv a.k.a manjonjo...huyu ndo kichwa kuliko wote pale WCB...naskia melody zooote za Mondi dogo ndo anampaga,mpaka melody ya Shetta namjua ni dogo ndo kampa
 
Kijana kutoka WCB maarufu kama Raymond ameachia kichupa kimoja hivi kinaenda kwa jina la ''natafuta kiki'', ameeleweka vilivyo, hadi sauti ile''yooooooohh'' ya Kiba imesikika.... sio ya kukosa. Naona WCB wanazidi kuwa gumzo mjini hapa.
 
Back
Top Bottom