Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Ilikuwa ni rahaa mpaka basi pateni mapichaaaaa
Mbona watu wachache sana? Au Nyumbani Lounge ndio kwishney!!
Ilikuwa ni rahaa mpaka basi pateni mapichaaaaa
![]()
Mie naona wakiwa wastan ndo hua bora.... Watu wakisheni saana hata u-quality wa mahala hupungua....
Dah! hilo pozi la Gadner mbona liko ki-cameroon zaidi!
hata mimi imenshangaza......
Nini kinaendelea hapa??
![]()
Mara nyingi pombe ni kwa ajili ya kumuaibisha mwanaume.Nilidhani mimi tu! Sijui Habasha alikua kalewa? Khaaa! Ningekua Jidee Mzungu wa nne mwezi mzima kwa pose hio.... Alie haribu kabisa ni huyo jamaa kwa kuleta huo mkono hapo mbele ya Habash....lol
Hii picha hii..... Dah!
Mara nyingi pombe ni kwa ajili ya kumuaibisha mwanaume.
Hii picha ndo David Cameroon anazitaka tumtumie ili atupe misaada !!!!1