Nimejaribu kufuatilia interview za utambulisho wa wasanii wa walio chini ya Babu tale na mkubwa Fela nimegundua hawa jamaa wanyonyaji sana na wanaishi na wasanii chipukizi kwa kuwatia hofu ili...
Wadau salamu, nilikuwa na uhitaji wa nyimbo za zamani za dansi enzi za beta musica, diamond wako kwny chati na dansi za sasa pamoja na za live perfomance yoyote aliyekuwa nazo azitupie humu...
Salaam wakuu
Mi ni mwanafunzi wa chuo flani hapa Songea-ruvuma lakini nyumbani Mbeya.
Sasa napenda sana na nahitaji sana kuwa mtaalam wa kutengeneza midundo au beats(yani kuwa music producer)...
Hawa ni madirector wa Africa Kusini waliofanikiwa kuwateka sana wasanii wa bongofleva, kila msanii wa bongofleva akitaka kutoa kioo kikali atamtafuta mmojawapo kati ya hao.
Je? Ni yupi anatoa...
Samahani wadau wa jamvini mwenye wimbo ule wa ccm uliimbwa mwishoni siku ya uzinduzi wa kampeni pale jangwani. Umeimbwa na TOT tune yake inaimba 'chaama cha mapinduzi chaama mara 2 then kazi...
1. Zayn Malik- Befour
2. Mike Posner- I took a pill in Ibiza
3. Alessia Cara- Scars to your beautiful
4. Cold Play- Hymn for the weekend
5. Lady Jay Dee- Ndi ndi ndi
6. Lokua Kanza- Plus Vivant
7...
Wadau mimi niko na swali kwa muda mrefu limenikaa kichwani na kinywani pia!hivi kwanini hakunaga mtangazaji wa kipindi cha taarab wa kiume?hii ni kote kote kwenye tv na redio stations zote...
Wale washabiki na wadau wa mziki wa bongi fleva. Hivi song gani la king kiba unalikubali sana.
Mie binafsi ni hii hapa
"Mara ya mwisho mi nawe, kuonana kipindi kile twasoma..
Shule ya msingi...
Wakuu msaada hii hadithi nilikua naifatilia hapa lakini siku hizi kila nikingia jukwaani siioni naomba kwa anayejua anielekeze ilipo maana tamu sanaaaa
Mwanamziki Mkongwe Lady Jay Dee ameachia Single inayokwenda kwa Jina la "Ndi ndi ndi" ambayo ameichia leo baada ya ule muda mrefu wa Matangazo ya Jay Dee anaamka tena
Asalaam wadau...
Wimbo wa On Top Of The world, kwangu ni wimbo unao amasisha saaana...
Jaribu kuufuatilia...
Very high self esteem!
[Intro: Ludacris (T.I.)]
Rich by popular demand (The wait...
One among my coolest songs i spent listening this weekend.
Freedom- Pharrell Williams
Get lucky- Daft Punk ft Pharrell Williams
Adventures of a life time- Cold Play
Something Inside so...