Soundtrack ya Orijino Komedi

Soundtrack ya Orijino Komedi

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,233
Wadau kuna wimbo huwa --------- kama sound track kwenye kipind cha orijinal comedy ya akina Masanja pale kwenye category ya Ze professeri. Najua kuwa ni wimbo wa Lokua kanza mwanamuziki wa Congo anaeishi Belgium, nahitaji kujua wimbo huo unaitwaje sababu nataka niutaufte mitandaoni. Maana hivi hivi nimeshindwa. Msaada tafadhali kwa anaejua.thanks
 
"kwetu mbali siku gani tutarud kwetuuuu" una maneno kama haya.
 
Wadau kuna wimbo huwa --------- kama sound track kwenye kipind cha orijinal comedy ya akina Masanja pale kwenye category ya Ze professeri. Najua kuwa ni wimbo wa Lokua kanza mwanamuziki wa Congo anaeishi Belgium, nahitaji kujua wimbo huo unaitwaje sababu nataka niutaufte mitandaoni. Maana hivi hivi nimeshindwa. Msaada tafadhali kwa anaejua.thanks
Wimbo unaitwa KUETU MBALI
http://mp3lees.org/en/ex.php?q=Lokua+Kanza+-+Kuetu+Mbali
 
Back
Top Bottom