victor moshi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 829
- 1,061
Moja ya nyimbo nzuri za rnb singer ben paul
Huu wimbo mi nauona watofauti coz
1)hii nyimbo tangia itokee haija chujaa masikioni kwangu ukilinganisha na nyimbo nyingine hua na choka kusikiliza mapema mno
2)nimoja ya kati ya nyimbo lyrics zake ziko kwa mtiririko...maluum
Na wasilishaa....