Huu wimbo kaimba nani na unaitwaje???

mnyaga1

Senior Member
Sep 24, 2014
184
102
kuna huu wimbo wa kitambo sana unaimba

we nenda tu we nenda tuu
moyoni unanichoma
ondoka wewe nenda
usije nletea ngoma
aaa we nenda tuu...

kaimba nani na unaitwaje
 
Hyo nyimbo aliimba Squezer amewashirikisha Mandojo na Domokaya mkuu .inaitwa Nenda
 
Kwa mashairi hayo huo sio wimbo Wa Squiza na Man-Dojo & Domokaya (kama kundi walijiita Dunia Tatu) wimbo Wao ukiitwa Nenda ukiwa produced na Lamar ambao mashairi yake kwenye kiitikio yalikuwa
"Twabomoa badala ya kujenga, we nenda we nenda aah ha, nilidhani nimependwa forever forever aah ah.....
 
Weka link yake mkuu nahisi utanifaa sana huo maana nimepigwa chini siku chache tu zilizopita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom