Skiliza kionjo cha wimbo mpya wa Nay Wamitego - Kati Patamu. TCRA watauacha??

YetuMacho

Member
May 31, 2016
16
17
Wengi wanamjua Nay Wa Mitego kwa kutoa nyimbo nyingi sana zikiwa za utata, mara nyingi hua anawachana watu maarufu bila kuwaogopa au ujumbe ndani ya nyimbo kua na utata. Haya basi katika pitapita zetu tumepata kionjo cha wimbo wake mpya ambao bado haijajulikana hasa utatoka lini.

Wimbo huo unaenda kwa jina la pale kati patamu, kwa tafsiri za kwetu mtaani nina uhakika kabisa kua huu wimbo ukiachiwa utakua gumzo sana . Sio tu mtaani hata huko mitandaoni ambapo nadhani TCRA wanaweza kufanya yao. Unaweza skiliza video ya wimbo huo hapa chini...

 
Pale kati !!!!!!!!!!!!!

Beautiful-Girls-HD-Wallpaper-6.jpg
 
Habarini wanajf.
Baada ya Nay wa Mitego kuachia ngoma yake ya "masaka hela". Sasa ameanza kushoot video yake Mpya iitwayo "pale Kati patamu". Naombeni mnisaidie jamaa anamanisha nini asa asa.
Source habari Tanzania.
Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom