Wimbo wa Kanye West 'famous', its N.W.O

wasumu

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
2,028
1,695
Hilo halipingiki kuwa New World Order haiwez kukwepeka hata kidogo hata huyu agent mkubwa sana wa freeemason anajua hilo hasa katika wimbo wake huu wa famous kuna mambo mengi sana yaliyoongelewaa ila hadi jicho la pili ndo utajua hili unaloelezwa





bam maaanake burn so kanye anajua master wake nani ....wake up its tooo late brother ....
 
jamiii forum hakuna uhuru sasa kila kitu wanatoa ...... uhuru wa mawazo haupo hata kidogo ila one day yes
 
Back
Top Bottom