Hii ngoma ya nature bana ilinilizaga sana kipindi flani.
Jinsi jamaa alivyo mkali wa chorus na kulalamika dahhhh kweli iliniuma sanaa nikifkiria huwa me nalia hata watoto wadogo wananicheka sana!
Tupia na we song la nature lililokugusa enzi hizo
Hili game
Salio la verse
Wimbi la njaa original version
Tumepigika
Buriani
Aah wapi
Wazazi
Mtoto Iddi
Duh uyu jamaa napenda joints zake zote na ndio msanii pekee nimewahi kununua albam zake zote na sijawahi kukosa aki-launch albam toka ile Nini Chanzo pale pool side,Juma ni ever green Mcee kwangu na mpaka kesho anagonga show na hivi vitoto vinavyo balehe na kuvunja ungo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.