DENICE ADRIAN
Senior Member
- Feb 14, 2014
- 127
- 30
Habari wakuu,
Muvi kali za muigizaji Jet Li ni zipi? Tujuzane plz
Muvi kali za muigizaji Jet Li ni zipi? Tujuzane plz
Hivi uko serious !!!!!! Revolution iko cancelled kitambo sanaa...badlands mpk 2017...arrow bado inatengenezwa..kwann usiwe una google kwanza!???Tafadhari sana wadau niko chini ya miguu yenu, mwenye Season 2... ya IN THE BADLANDS. Season 3... ya REVOLUTION. Season 6... ya ARROWS. Tafadhari tuwasiliane 0765829256
Ongeza,Bodyguard from Beijing
Fearless
Once upon a time in China
Into the badland mpk 2017 season 2 ?Hivi uko serious !!!!!! Revolution iko cancelled kitambo sanaa...badlands mpk 2017...arrow bado inatengenezwa..kwann usiwe una google kwanza!???
1.Cadle in the grave.
2.Romeo must die.
3.The bodyguard from
Beijing.
4.Tai chi.
5............
Pamoja na Jet Lee ni mzuri lakini tafuta movie za kichwa moja inaitwa Donnie Yen.ni hatari huyo mtumuvi kali za jet li tujuzane plz