Hahaaahahaa hawa watoto wa mwendokasi wanatabu...huyu wangu hapa akisikia "Mboga saba" wa Bayser humwambii kitu na remote anaing'ang'ania kabisapesa madafuuuuuuuu
mpk kanangu kakiskia kanakuja mbiooo!!mamaa pesa madafuuu!hyooo
ni sheeedah!yani kuna siku tuko dukani Mara unaimbwa kakaanza maama"pesha madafu"walicheka balaa watuHahaaahahaa hawa watoto wa mwendokasi wanatabu...huyu wangu hapa akisikia "Mboga saba" wa Bayser humwambii kitu na remote anaing'ang'ania kabisa
Hahahaaaaa!ni sheeedah!yani kuna siku tuko dukani Mara unaimbwa kakaanza maama"pesha madafu"walicheka balaa watu
Hapana mkuu...Jay MO anakubalika sana tena sana tu ila tatizo huwa hatoi Track mfululizoJamaa anajua sema nyota hana maana nyimbo zake nyingi ni nzuri
Lkn hawa akina mziwanda nyimbo 3 anaanza kujiita captain Wa bongo fleva
MUNGU Anatupenda Sote Waislam kwa Wakristo, kwa nini tugombane wakati sote ni Viumbe vyake????Alitabiri #The #return of the #superman imekuwa #True
Hiyo joint ni sooo aisee,niliiona eatv,#mchopanga kaua vibaya,mabitoZZ kina neema wa mitego wakae mbali,#superman kaja kivingine