Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa mwana JF yeyote mwenye nyimbo za Emmanuel Nkulila na mwenye roho nzuri ya kusaidia wengine naomba anitumie nyimbo hizo inbox. Usinitumie link tafadhali, nitumie clips. Natanguliza shukrani...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Hii muvi ni muendelezo wa sehemu 7 kuanzia part1 iliyotoka 2004 na kuendelea hadi kufika part7 ni muvi iliyojaa ubabe,vitisho na mauaji ya kutisha! stori ya hii muvi haiko katika part 1 hivyo hadi...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Hello habar za leo plz...naomba ur support kwa kushare ktk socialnetworks zako[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Coming Soon @pamdofficial Ft...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Mzigo umeachiwa soon, ucheki hapa
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, ukisikiliza redio zetu na ukiangalia luninga zetu, mziki unaochezwa na ambao ni kivutio kikubwa kwa rika zote japo sio kwa asilimia mia, hauna chembe ya juhudi ya kututoa tulipo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nianze kwa kusema nilianza kulijua jina la Jean Claude Van Damme baada ya kumwona akiigiza katika filamu ya No Retreat, No Surrender aliyoigiza mwaka 1986. Baada ya kuigiza picha hiyo Van Damme...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
The Big Brother housemates shocked viewers with the sexual activity, with some complaining to Ofcom Fans claimed scenes from the Channel 5 show were 'pornographic' Marco's fiancée Kim...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kili Music Awards mwaka huu kimya sana, miaka mingine washiriki huanza kutangazwa mapema ila mwaka huu mpaka leo mwezi huu wa sita unakwenda wa saba sioni dalili zozote za kuwepo kwa hizo tuzo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
waimbaji ni ADONAI GOSPEL SINGERS jina la wimbo ni SITOSAHAU HURUMA ZA BWANA au HURUMA ZA BWANA Unaweza ukau-attach apa kwenye thread au ukani-email via hewizet@gmail.com ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
3K Views
jaman wa jamvi nani anaweza kunisaidia nikapata hii kitu ya second chance kwenye English version na isiwe kwenye cd zile za alibaba! mwenye msaada anisaidie ndugu zangu naipenda sana hii kitu
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Huyu Jamaa anaitwa Bileku mpasi au djuna mumbafu,alikuwa ni rapa wa marehemu pepekalle.Mara ya mwisho kumsikia ni pale alipotoa Album yake kwa jina la djuna one,toka hapo sijamsikia tena Mwenye...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wimbo wa Ray Vany (Natafuta Kiki) ni MWIGO. Haustahili sifa unazomwagiwa. Na: Gasto Di Genaro Ray Vany ni msanii mchanga anaekuja kwa kasi sana kutoka kwa Lebo ya WCB. Ray hadi wakati huu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nini maana ya " Fondo nura fizo so mya " kwenye nyimbo ya ndi ndi ndi ya Jay Dee
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Muongozaji mahiri wa filamu nchini Marekani, Mel Gibson amepanga kuja tena na muendelezo wa filamu yake ya mwaka 2004, The Passion of the Christ. Screenwriter Randall Wallace aliyeandika filamu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Take it easy with me, please Touch me gently like a summer evening breeze Take your time, make it slow Andante, Andante Just let the feeling grow Make your fingers soft and light Let your body...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wadau wa ukweli wanaoenda kusikiliza music toka kwenye systems za ukweli kuanzia receivers, speakers, home theatres, headphones nk naomba tukutane hapa tushauriane kuhusu vyombo hivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msanii maarufu wa nigeria, Tiwa savage amesaini na kampuni ya kurekodi na kusimamia wasanii ya Roc Nation Ya Jay Z. Deal Hilo pia lilishuhudiwa na bosi wa Mavin Records, Don Jazzy.
0 Reactions
1 Replies
619 Views
Sasa huyu ndiyo anaimba ujinga gani?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom