Wapi mtu anaweza jifunza muziki kwa hapa Dar

Jul 1, 2016
52
32
Wazee mambo vip! Ukiachana na bagamoyo ni chuo gani kingine mtu anaweza enda kujifunza muziki Kwa hapa dar es salaam? Na gharama sake zinakuwaje?
 
Wazee mambo vip! Ukiachana na bagamoyo ni chuo gani kingine mtu anaweza enda kujifunza muziki Kwa hapa dar es salaam? Na gharama sake zinakuwaje?

Fafanua kidogo boss mziki wa aina gani? Binafsi najua sehemu wanapofundisha namna ya kupiga vyombo vya mziki.
 
Unataka kujifunza kupiga vyombo vya muziki au namna ya kuimba??? Ila Kama unaweza nenda Bagamoyo, Kama hutaki long course wana short courses za miezi 3 au 6, halafu fulsa kibao za nje! Kupitia Sanaa....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom