Aliye na video ya mtu mzima Drake-one dance anisaidie tafadhali!

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
844
500
Ni video ya mtu mzima drake,one dance,nimehangaika kadri ya uwezo wangu lakini sijaambulia kitu.Naomba kwa aliye na hii video au link ya ku-download anisaidie.
 

mwasipenjele

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
772
500
Ingia opera min search tube mate kinsha install hapo unaweza kutumia hyo app ku download video & audio kwa ubora unao utaka wewe
 

Bobbyray

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
775
1,000
Labda unambie ivo mkuu,nimepita kote tubemate,youtube downloaders,wapistan.info,savefrom.net lakini wapi!
Mara nyingi Drake huwa anachelewesha sana video isikilize ngoma yake nyingine inaitwa Controlla iko poa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom