Chidi Benz Ft Raymond - Chuma Official Audio - YouTube

Sauti nilioizoea kumsikia akiimba sio hiyo ya sasa bado bado aijawa vizuri ila kajitahidi kwa hali aliokuwa nayo na kuimba hivyo safi.
 
Ipo poa atarudi penye kiwango chake coz ni kama baiskeli kama unajua unajua tu hata ukiwa na miaka 100 unaendesha.
 
Beat haijampendeza Chid, Babu tale na Fella likija swala la Hip Hop wawashirikishe producers wengine, sababu Shirko na Laizer hawawezi hii midundo, chek hii ngoma na ile ya Getu tararira, mbaya sababu ya beats
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom