Kama una movie mpya 2016 njoo hapa tubadilishane

don88

Member
Jan 22, 2013
53
84
Niambie una movie gani mpya za 2016 kutoka Hollywood....

Kama unazo fanya kuzianika hapa tuweze kubadilishana maana ninazo nyingi tu kama Cell, Batman Vs Superman, The Brothers, Never Back Down na nyingine kibao.
 
X- men 2016, the jungle book, I am wrath, the trust, kill command, kill Kane, Asian connection, dirty grandpa, 13 hours secret soldiers of benghazi, the finest hours,the midnight man, midnight special, the conjuring 2, the brothers grimsby,independence day, London has fallen, zootopia, zoolander, Triple 9, seven dead,Gods of Egypt,.... Nime choka. Kesho ntaendelea....# nilipo kua chuo nilijulikana kama kisima cha movie...
 
Mmmmh independence day mbona kwenye torrents bado naomba hiyo link ya kuipata
 
To love and die in Amsterdam ... Duh! Yaani kama bongo movie vile!!!

Kaka ...
 
X- men 2016, the jungle book, I am wrath, the trust, kill command, kill Kane, Asian connection, dirty grandpa, 13 hours secret soldiers of benghazi, the finest hours,the midnight man, midnight special, the conjuring 2, the brothers grimsby,independence day, London has fallen, zootopia, zoolander, Triple 9, seven dead,Gods of Egypt,.... Nime choka. Kesho ntaendelea....# nilipo kua chuo nilijulikana kama kisima cha movie...
kisima cha movies nambie ipi lazima niiangalie?,yaan the best
 
X- men 2016, the jungle book, I am wrath, the trust, kill command, kill Kane, Asian connection, dirty grandpa, 13 hours secret soldiers of benghazi, the finest hours,the midnight man, midnight special, the conjuring 2, the brothers grimsby,independence day, London has fallen, zootopia, zoolander, Triple 9, seven dead,Gods of Egypt,.... Nime choka. Kesho ntaendelea....# nilipo kua chuo nilijulikana kama kisima cha movie...
Bila shaka movie zako nyingi ni chafu... Xmen hata clear copy bado we unayo
Hata jungle book clean version bado ila wewe unayo...
Mi naangalia movie HD tu au clean version za Hdrip au webRib na akna x264
 
msaada jinsi ya kudowload series yoyte japo nahitaji the100 season 2&3

Make sure ktk pc yako au simu una u torrent kwa ajili ya kudownload series or any movie.

Kama unatumia pc:
1. Search google "torrentz.eu"

2. Kuna results nyingi,ww ingia itakayoandikwa "torrentz search engene"

3. Ikishafunguka,utaona sehem ya kusearch,andika jina la movie yako then hit "enter"

4. Results zitakuja nyingi kama hiyo movie ipo. Ww angalia ambayo inasize ya wastan (maana zingine ni lot of GBs). The iclick.

5. Ikifunguka utaona results nyingi,ww tafuta palipoandikwa "kat" click hiyo then ikifunguka utaona option ya kudownload torrent. Idownload then nenda kwenye dowload list then double click hiyo torrents. After tht App ya utorrent itajifungua na kukuomba ruhusa ili idownload.

6. Click Ok. Then itaanza kudownload.

Ahsante.
 
asante sanaa,,,natumia sim,,,nimeingia mpaka kwenye iyo u torrent na movie naiona but kila nikijalibu kupakua naambiwa saver error sa cjui nakosea wap
 
Bila shaka movie zako nyingi ni chafu... Xmen hata clear copy bado we unayo
Hata jungle book clean version bado ila wewe unayo...
Mi naangalia movie HD tu au clean version za Hdrip au webRib na akna x264

Kakurupuka huyo alijuwa wote oyaoya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom