E-Fm yaendelea Kuitesa Clouds Fm Dar

vantz

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
1,107
570
1468312784782.jpg
 
Wengine tunatumia vifaa ambavyo havina uwezo wa kusoma hiyo attachment, kwa niaba ya wengi naomba ufafanuzi kwa ufupi.
Pole sana hii ni ripote ya kila wiki ya usikilizwaji wa Redio kwa Dar unaweza kuona figure zinavyoonyesha Efm inaongoza vipindi vyote huku ikifatiwa na Clouds fm
 
Pole sana hii ni ripote ya kila wiki ya usikilizwaji wa Redio kwa Dar unaweza kuona figure zinavyoonyesha Efm inaongoza vipindi vyote huku ikifatiwa na Clouds fm
ahsante mkuu kwa ufafanuzi, simu yangu hainiwezeshi kusoma hicho kiambatanisho lakini sasa umenielewesha na hilo halina ubishi hapa mjini ni EFM tu kila kona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom