Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,888
- 16,120
Habari kaka Dai, tangu nikufahamu sijawahi ona umefunikwa na msaanii yoyote katika korabo zako Hata za wanaija na wasauzi but huyu shemeji yako nadhani ni hatari kamali ndani ya safari
Jamaaa yuko poa saaaaaaana
Jamaaa yuko poa saaaaaaana