God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Habari wana JF.
Nitumaini langu kwamba muwazima kabisa na kwa wale ambao wana matatizo flani basi msikone ndo maisha yetu hapa duniani kikubwa Mtumainie Mungu na timiza wajibu wako kikamilifu.
Leo nikiwa nasoma thread flani hapa ndani ghafla nikapatwa na furaha kubwa sana na imani yangu kuwa JF ni nyumbani na inazidi kuimarika na ni nyumbani kweli, huwezi kimbia nyumbani amini nakwambia hata uende pande gani ya dunia nyumbani ni nyumbani tuu.
Nilikua na wazo tuunde siku maalumu napendelea sana siku za holiday kama mwisho wa pasaka, iddi au mwisho/mwanzo wa mwaka tujipange captain wa JF Mr somebody ajiandae na team yake tutafte mkoa sana sana Dar es salaam sababu Dar es Salaam ndo ndo Tanzania tufanye bonge moja la sherehe, pia Mr aandae speech nzuri ili watu wailewe vizuri JF.
Kadi za mialiko au njia yoyote ile nzuri na rahisi itumike na sisi member tuchangie pesa kwaajili ya kufanya hiyo sherehe ya kimataifa zaidi Tanzania.
Tusherekee jamani mtandao wetu penda, unaotuburudisha, kutuelimisha, kutuunganisha na watu wengine nchi hii na nje ya nchi, nimeelimika sama hapa JF, nilikua nina matatizo sana mwaka jana ila namshukuru Mungu nimeyashinda na ni mengi kwa kweli siwezi andika hapa sitamaliza, kweli natoa pongezi kwa JF kwa sapoti na msaada nilioupata.
Nina mawazo kidogo kwa wana JF hapa.
-Napenda tuiwakilishe JF kwa mitandao mingine tunayoitumia kama Facebook, Twitter, Instagram,Google+ n.k
tutafanikisha hilo kwa kushare habari mbalimbali ili wezetu wasikose hii site muhimu kabisa katika maisha yao, wale wanaopost screenshot sawa, whatsapp na site mbali mbali inapendeza zaidi.
-Kuwe na namba za simu ambazo ni special kwa ajili ya kuchangia JF ili huduma mbali mbali ziboreshwe na tuwe wa kimataifa zaidi. Pia account number za bank itapendeza zaidi na western union service ili kwa wale walio nje ya nchi waweze kushiriki au njia yoyote ili ambayo watu walioko mataifa ya mbali wataweza weka michango yao ili JF ikamilishe huduma zake.
Iweke sehemu maalumi ili kila anaeingia aelewe kwa urahisi zaidi njia ya kuchangia JF.
Busara zetu, ushujaa na kutokukata tamaa kutatusaidia unajua siku zote mtu shujaaa ni mpambanaji haswa. Ukiwa strong wale wanadamu wenye nia mbaya mbaya na wewe hawawezi kukudhibiti.
-Iwapo suala la hela likikaa vizuri napenda JF tujipanue zaidi tufungue TV na Radio station ambazo kwa pamoja zitapatikana nchi nzima pia tuwe na gazeti letu. Kwa kweli nikiangalia watangazaji wa Jamii Media nafurahi sana yani ni zaid ya Television.
Mabasi, shule, hotel na shughuli nyingine za kibiashara tujipanue zaidi. Najua iko siku mambo yatakuwa sawa na haya yote yatawezekama kama kwa pamoja tutaamua kufanya kweli, ushirikiano, nia njema na ya dhati kabisa kutoka moyoni na upendo hakika tutafika.
-Napenda nifundishwe namna ya ku post audio huku kwa kweli sijui au labda haijawezeshwa hii huduma naomba mnieleweshe wadau
-Pia sehemu ya kuonyesha threads alizofungua mtu pamoja na content zote alizochangia huku napenda zifichwe sababu zinaonyesha sana privacy hadi undani wa mtu kabisa, unajua kuna watu wanajua kupekua sana so naona hata ukipata mtu huku au kama kuna mwenye nia mbaya na wewe atakushika tuu.
Ila kwa upande mwingine inasaidia maana penye wengi pana wengi so inaweza kutumika pia kama silaha ila mpaka ufanikiwe inapaswa ujitahidi kwa kweli sababu mtu anaweza badilisha hata ID.
-Kuwepo na app kwa ajili ya Window phone mobile sababu tayari naona Android na iOS tayari zipo so sababu kuna wapenzi wa Windows phone watakua wanakosa huduma maana ukitumia app inanoga sana almost motification zote huwa unazipata, naomba JF mturahisishie huduma jamani.
-Kuwe na subscription option kwa kila jukwaa ili kila mtu alie interested na jukwaa fulani basi a subscribe jukwaa husika au majukwaa ayapendayo ili apate habari kwa undani zaidi. Hili litapendeza sana kwa sababu huwezi kuwa active mda wote utapitiwa na baadhi ya mambo na kuanza kutafuta tena inakua shughuli nyingine.
Together we can, i have a dream tukijitolea JF itakua Facebook ya Tanzania.
Wenye ushauri zaid kuhusu mtadao wetu wanakaribishwa pia ili tujiweke imara zaidi.
Namalizia hapa.
**Long live JAMIIFORUMS, GOD Bless JAMIIFORUMS**