KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,214
- 75,732
habari zenu wana jf...
natumai mu wazima wa afya.
nimependelea kuwaita walimu wa muziki hapa ili watoe fundisho na dondoo mbalimbali za kuimba,
coz kwanza mimi binafsi napendelea sana kuimba hivyo nadhani kuna watu wengi wanapendelea kuimba lkn hawajui kuimba vizuri.
Hoja yangu kubwa hapa ni nguli hawa wa uimbaji/muziki kutufundisha namna ya kuimba vizuri,kujua key,kupangilia sauti,jinsi ya kuvuta pumzi na kuitumia,mazoezi ya mwili ktk uimbaji n.k
Nimeorodhesha hayo machache lkn natumai walimu wa fani hii mnaijua vizuri hivyo nategemea mengi zaidi kutoka kwenu.
Muziki imekuwa ni burudani,kazi na njia ya kutolea ujumbe,hivyo nadhani kwa elimu ya muziki itakayotoka hapa huenda ikaibua wasanii machachali na nguli wa muziki,pia na walimu wa muziki baadae.
Sina mengi ni hayo tu.
mnakaribishwa
MUSIC IS MY CULTURE..