NAIROBI: Congolese musician Koffi Olomide was Saturday morning deported to Kinshasa, DR Congo after being arrested Friday night. Olomode was sent back to his home country via a Kenya Airways...
Nimejaribu kutafuta mashairi ya wimbo huu wa Koffi Olomide kwa muda, hatimae nimepata..
Kwa mtakaopenda usomeni na nyie mfurahie.
Koffi Olomide Selfie Paroles Lyrics In Lingala and English...
wadau msaada hapa mistari yake ni.
"najaribu kuchombeza nione ujasiri wako msichana kama wewe wangu u peke yako"
ni ya kitambo kidogo
mwenye kujua anijuze nani kaiimba na jina la wimbo..
thanks
Movie ambazo ukiangalia zinasisimua ama zinaweza kukufanya utoke chozi mim za kwangu ni John Q(2002) ya Denzel Washington, Titanic na The Ruins. Naombeni na movie zenu za aina hiyo nizidownload
Mungu katoa vipaji vya kila aina kila mtu na chake, leo nimeona nije kushare na nyinyi videos za nyimbo ambazo zimerudiwa na aliyerudia kaitendea haki, mara nyingi huwa wanaziperform kwenye...
Ni maika mingi nimeacha kuangalia comed za tv baada ya orgina comed kupoteza umaarufu na nilikimis sana kipindi cha mambo na vijambo cha chenel 5 miaka takriban mitatu iliyopita,
Nilikua mshabiki...
Habari wakuuu aisee kuna nyimbo yaa hiphop soul ya stereo sijui inaitwaje ila amemshirikisha jamaa anaimba chorus kwa kiingereza hata jina la wimbo silijui ila mahadhi ni hiphop soul inafanana...
In first time through my priotire You can listen and download New Audio from Nigerian Man
Artist YoungB ft Alisco
Tittle BethDay
Visit To My Blog to download it
[/URL][/IMG][/IMG]
Katika ngoma mpya ya Roma aliowashirikisha wakali wengine, Jose na Darasa, kuna mistali kadhaa inaeleweka na mingine inahitaji tafakuri shirikishi ili kwa sisi wafuasi wa Hip Hop itupe ile kitu...
Habari kaka Dai, tangu nikufahamu sijawahi ona umefunikwa na msaanii yoyote katika korabo zako Hata za wanaija na wasauzi but huyu shemeji yako nadhani ni hatari kamali ndani ya safari...
hi guys..
its rastaman vibration sounds little in ur naughty ears....it ridim and we make em rivers flow with our roots flavours...if you feelin dis ting i want to hear you say yeeeeeeeeeeeeees...
Ni video ya mtu mzima drake,one dance,nimehangaika kadri ya uwezo wangu lakini sijaambulia kitu.Naomba kwa aliye na hii video au link ya ku-download anisaidie.
Niambie una movie gani mpya za 2016 kutoka Hollywood....
Kama unazo fanya kuzianika hapa tuweze kubadilishana maana ninazo nyingi tu kama Cell, Batman Vs Superman, The Brothers, Never Back Down...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.