screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,909
- 15,950
Kwa vipindi vinavyoruka kilasiku hiki ni kipindi bora zaidi kwangu cha masuala ya burudani, kuanzia Graphics, Background natural anayoitumia host na Content kwa ujumla, ukikiangalia huwezi kuboreka kwakweli. Najua mtakuja kucoment kwamba hii ni kiki, Sam Misago simjui hanijui ila hapa ameweza yeye na timu yake. Tutegemee kuibuka vipindi vingi vya style hii kwenye TV nyingine...
