Prince_mandela
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 167
- 117
Msaada unawezaje Kuhack subway surfer game on android ili kupata unlimit krys & coins
Pakua hapa subway surfers | OsmDroid.netMsaada unawezaje Kuhack subway surfer game on android ili kupata unlimit krys & coins
game hiyo,acha kututia aibu wanaume wa mkoani...unataka kila mtu ajue ulikuja tu mjini...Ndio kitu gani hiki wakuu kabla sijaanza kuhack
Unataka asphalt ipiMkuu na ile ya Magari sijui asphalt..
Msaada
Mkuu inazingua ku install nifanyejePakua hapa subway surfers | OsmDroid.net
Wap unakwamaMkuu inazingua ku install nifanyeje
Dah imefunguka mkuu kumbe ilibid ni fute lile og dah ko izi funguo zikiisha zinajiruud auWap unakwama
Haziish hzo mkuuDah imefunguka mkuu kumbe ilibid ni fute lile og dah ko izi funguo zikiisha zinajiruud au
Afu kumbe kuna limit za score bhanaHaziish hzo mkuu
Limit ngap?Afu kumbe kuna limit za score bhana
Limit ngap?
Umeona hapo tuliojipanga ndo tumefika limit score
Yaa nmeona mkuu... Kwaiyo bado unataka kwenda zaid ya hapo?Umeona hapo tuliojipanga ndo tumefika limit score
Ningepebda zaidi sema at hapo fresh tuuYaa nmeona mkuu... Kwaiyo bado unataka kwenda zaid ya hapo?