fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,031
Duu una picha yake ya sasa?Kwa sasa dogo ni rapa wa Fally Ipupa.
Yaani hiyo sauti iko live,lakini kama ni recoded.Vipaji vinaibuliwa.
Kinahitaji kutunzwa hicho kipaji vinginevyo itakuwa kama vijana wetu uswazi mpira wanaujua wanaishia kuwa wakabaji na kubwia ungaAtafika mbali
Tayari keshanyanyuliwa angalia kuna video nyingineKinahitaji kutunzwa hicho kipaji vinginevyo itakuwa kama vijana wetu uswazi mpira wanaujua wanaishia kuwa wakabaji na kubwia unga
Ok hapo sawa kama wasemavyo wahenga kuzaa si kazi shughuli kuleaTayari keshanyanyuliwa angalia kuna video nyingine