Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 365,918
- 845,849
Ni ngoma mpya ya Sauti Sol Ft Alikiba, ni ujio mpya wa Alikiba aliyumba akateleza lakini hakuanguka
Ni wimbo ambao wamteundea haki mpaka kwenye video zake zote
Tofauti na wakongwe wengine Kiba ameweza kurudi hewani tena tena kwa kasi ya kutia matumani...Tumuombee
....Nakupenda tena nina imani nawe...ushanitendaa....
Ni wimbo ambao wamteundea haki mpaka kwenye video zake zote
Tofauti na wakongwe wengine Kiba ameweza kurudi hewani tena tena kwa kasi ya kutia matumani...Tumuombee