Sanaa ya sarakasi(acrobat ) na ngoma asili tz.

Tengu mwana

Member
Mar 1, 2015
35
5
Habar wakuu,
Msaada kwa yeyote mwenye masoko ya nje au ya ndani kuhusu performance za stage, nina groups za burudan hizo.mwenye kuhitaj au mwenye masoko zaid tuongee nahitaj udhamin. Sante
 
Goethe Institut huwa wana maonesho ya sanaa ya bure kila mwisho wa mwezi. Kama ukiwa unahudhuria hayo na mengine ya aina hiyo ni rahisi kupata 'gig'...
 
Back
Top Bottom