Hii Eatv Awards ni ya low quality

Hii Eatv Awards ni ya low quality

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,653
Hello guys,

Hizo tuzo za eatv zingetakiwa zifanane kama zile tuzo za bet, au Grammy, I mean kuwe na mascreen makubwa, stage zinazobadilika, pamoja na ukumbi mkubwa wa kukaa thousands of people, nashangaa ukumbi unaotumika ni wa mlimani city

Sijaona kipya kwenye hii eatv awards ya mwaka huu labda waimprove mbeleni...
 
Ni upungufu mkubwa wa akili kulinganisha yanayofanyika marekani na Tanganyika.

Huo ukumbi wa kubeba 'thousand of people' kwa hapa Tanganyika uko wapi, utusaidie kuujua na pia uwasaidie EATV ili msimu mwingine wapeleke watu huko.

Narudia, ni upungufu mkubwa sana wa akili kutaka kulinganisha ya marekani na Tanzania.
 
Hello guys,

Hizo tuzo za eatv zingetakiwa zifanane kama zile tuzo za bet, au Grammy, I mean kuwe na mascreen makubwa, stage zinazobadilika, pamoja na ukumbi mkubwa wa kukaa thousands of people, nashangaa ukumbi unaotumika ni wa mlimani city

Sijaona kipya kwenye hii eatv awards ya mwaka huu labda waimprove mbeleni...
Acha mbwembwe tuthamini vya nyumbani, isitoshe huu ni mwanzo tutafika level hizo one day...
 
Hello guys,

Hizo tuzo za eatv zingetakiwa zifanane kama zile tuzo za bet, au Grammy, I mean kuwe na mascreen makubwa, stage zinazobadilika, pamoja na ukumbi mkubwa wa kukaa thousands of people, nashangaa ukumbi unaotumika ni wa mlimani city

Sijaona kipya kwenye hii eatv awards ya mwaka huu labda waimprove mbeleni...
Mkuu labda wewe ulipenda ukumbi gani utumike?
 
Acha story za vijiweni usiige kunya kwa tembo utachanika............
 
Hello guys,

Hizo tuzo za eatv zingetakiwa zifanane kama zile tuzo za bet, au Grammy, I mean kuwe na mascreen makubwa, stage zinazobadilika, pamoja na ukumbi mkubwa wa kukaa thousands of people, nashangaa ukumbi unaotumika ni wa mlimani city

Sijaona kipya kwenye hii eatv awards ya mwaka huu labda waimprove mbeleni...
Ivi zile kumbi bongo zipo??????
 
Nadhani kwakuwa ndio kwanza wanaanza tuwape muda na kuwatia moyo badala ya kukazana kukosoa.
 
Taratibu taratibu tutafika waungwana ila hongera kwa ushaur murwa....
 
mleta mada naona alikua anaota ndoto za mchana hivi hajui kuwa kuna kumbi za kawaida ziko marekani na zinabeba watu zaidi ya kumbi zozote bongo sembuse kufananisha MGM grand na mlimani city
 
Natamani kumlipia mtu nauli aende USA walau kwa juma moja.

Marekani wamepiga hatua kubwa ya maendeleo kiuchumi, kiteknologia na kwa ustaarabu. Si vibaya kutamani kuwa kama wao lakini si sahihi kujilinganisha nao
 
Back
Top Bottom