Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Kuna huu wimbo " MATATIZO" japo si mtalaam wa nyimbo lakini naupa nafasi ya kuwa wimbo bora 2016.
1. ujumbe mzuri
2. Story ya wimbo imetulia.
3. Wahusika wamebeba vyema ujumbe wa wimbo ..
Nimecheki hata YouTube, wengi hawajui hata kiswahili Ila wameupenda hata kupata picha ya nini kinaongelewa.
1. ujumbe mzuri
2. Story ya wimbo imetulia.
3. Wahusika wamebeba vyema ujumbe wa wimbo ..
Nimecheki hata YouTube, wengi hawajui hata kiswahili Ila wameupenda hata kupata picha ya nini kinaongelewa.