UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Guys kwema
Hivi kweli wataalamu na waandaaji wa muziki mziki wa Singeli uko kwenye kundi gani? As in Jazz,Rock,Pop,Hiphop,Reggae,Rhumba,tchatcha?
Maana ile speed ya BT na speed ya uimbaji dooh sio kwa kelele zile
Nimejaribu kujiuliza wanaopenda aina ile ya mziki wanafurahishwa na nini hasa sijapata majibu mpaka leo nimebaki Nikishangaa
Cha ajabu kuna wimbi la watu wanaopenda mziki huo, maana mziki Kwa asili hupunguza stress lakini huu mziki binafsi zile BT zake nkizisikia ni zaidi ya stress kwangu au ao waimbaji wake ukiwasikia wanavyopiga kelele
Cha ajabu najiuliza watu wanaelewaje zile kelele...?