Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Hakika Msanii Mkubwa kama Diamond anapaswa kumwonea huruma Hawa yule aliyeimba nae wimbo wa "Nitarejea"Hawa ana maisha magumu mwonee huruma .
Ile video si alilipwa?,muhimu hapo kumsadia kurekodi wimbo wake,je wimbo usipofanya vizuri?....Dada yupo amehojiwa Na Mlimani TV. Anamwomba Diamond amsaidie ana Mtoto wa miaka 4 amsaidie hats kurekodi muziki wake
Ile nyimbo nzuri Sana.. Ila samahani mtoa Maada... Umemuona Hawa na maisha Yake mpaka ukasema ni magumu Naomba unieleweshe hayo magumu ni ya VIPI? Kwamba hata CHAKULA Hana? Au ni ugumu huhuu WA kila RAIA?
kwani aliwahi kuenda madale hakusikilizwa?Dada yupo amehojiwa Na Mlimani TV. Anamwomba Diamond amsaidie ana Mtoto wa miaka 4 amsaidie hats kurekodi muziki wake