wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 873
Kesho ndio tarehe 10/12/2016 siku ambayo nimekua nikiwaza hili na lile kuhusu hii tarehe. Kuna vituo viwili vikubwa nchini Clouds Tv na Eatv.
Eatv wamekuja na ubunifu mpya kabisa baada ya kuanzisha tunzo(tuzo) mpya kabisa kuwahi tokea(EATV AWARD) katika vituo vikubwa vya Tv Tanzania ,ambapo hitimisho na utolewaji wa tunzo (tuzo) hizi utafanyika tarehe 10/12/2016 huku wasanii mbalimbali wakishindania vipengele tofauti.
Upande wa pili kuna Clouds Tv ambao wao katika siku ya tarehe 10/12/2016 j'mos kutakua na ile shoo ya 'After school bash'
Katika vituo vyote hivi siamini kama kuna mawasiliano yeyote kuhusiana na matukio ya kesho ambayo yanaoneka kutia mvutano mkali"
Je kwanini vituo hivi vimeshindwa kupeana chance ili kila mmoja anufaike na kile anachotaka kukifanya? Je ninani alianza kutamka tarehe 10/12/2017 kutakua na event fulan? Nani mkorofi?